teknokona.com
Xiaomi yaizidi Samsung katika mauzo ya soko la India - TeknoKona Teknolojia Tanzania
Biashara ni ushindani na Xiaomi inaonekana kuliteka soko la India kwa mauzo ya soko kwa simu zake dhidi ya Samsung. Ni dhahiri simu za Xiami zina wateja wengi nchini humo.