teknokona.com
Facebook: WhatsApp yafikisha watumiaji bilioni 1.5 kwa mwezi - TeknoKona Teknolojia Tanzania
Uamuzi wa Facebook kuinunua app ya WhatsApp mwaka 2014 kwa dola bilioni 19 haukuwa mbaya kabisa. App ya WhatsApp yafikisha watumiaji bilioni 1.5 kwa mwezi katika kipindi cha Januari 2018.