teknokona.com
Wanawake katika ulimwengu wa teknolojia #SikuYaWanawakeDuniani - TeknoKona Teknolojia Tanzania
Idadi ya wanawake waliowataalamu kwenye masuala ya TEHAMA na ulimwengu wa teknolojia si kubwa. Lakini wapo wanawake ambao wapo kwenye ulingo na wanafanya mambo mazuri kwenye teknolojia.