teknokona.com
Uuzaji bidhaa katika makundi Facebook wazidi kukua kwa kasi - TeknoKona Teknolojia Tanzania
Katika nchi zinazoendelea na zilizoendelea watu wengi hutumia njia mbalimbali za kununua bidhaa na mojawapo ya njia hizo uuzaji wa bidhaa mtandaoni jambo linalopelekea biashara hiyo kukua kwa kasi.