teknokona.com
TTCL kujenga kiwanda cha utengenezaji simu nchini - TeknoKona Teknolojia Tanzania
TTCL na mpango wake wa kutaka kujenga kiwanda cha simu ni jambo la kufurahia na kukaa mkao wa kula na kusubiri ujenzi huo uanze.