teknokona.com
Teknolojia ya magari ya umeme yaingia Serengeti - TeknoKona Teknolojia Tanzania
Teknolojia ya magari ya umeme sasa imeanza kutufikia na sisi tunakuwa sio watu wa kusikia tu kwani sasa tunaweza kusema tunaelekea pazuri.