teknokona.com
Maelfu ya watumiaji wa SnapChat hawajapendezwa na sasisho jipya!
Maelfu ya watumiaji wa app ya SnapChat hawajapendezwa na sasisho jipya, kuna mabadiliko makubwa ya kimuonekano ndani yake.