teknokona.com
Simu mbili za Samsung kupata Android 9 Pie Januari 2019 - TeknoKona Teknolojia Tanzania
Android 9 Pie ama kwa lugha nyingine imewekwa wazi kuwa masasisho yake kwa simu za Samsung Galaxy S9 na Note 9 watapata Januari mwakani.