teknokona.com
Samsung kuongeza ubora wa kamera - TeknoKona Teknolojia Tanzania
Samsung wameona ipo haja ya kuongeza ubora wa kamera kwa simu ambazo watazitoa ili kuzidi kuvutia watu katika ulimwengu wa sasa ambapo kamera zinavutia.