teknokona.com
Samsung waja na diski ya SSD yenye ujazo mkubwa zaidi, ni ya TB 30
Je unafahamu ya kwamba Samsung walikuwa wameshikilia rekodi ya utengenezaji wa diski ya SSD yenye ujazo mkubwa zaidi? Fahamu diski ya SSD yenye ujazo mkubwa zaidi hadi sasa.