teknokona.com
Picha za Samsung Galaxy S9 na S9 Plus Zavuja - Jionee Muonekano
Picha za Samsung Galaxy S9 na S9 Plus Zavuja. Samsung wapo njiani kutambulisha simu zao mpya, Samsung Galaxy S9 na Galaxy S9 Plus, ila tayari kuna machache yanajulikana kuhusu simu hizo.