teknokona.com
Mswada wa matumizi ya simu kwa watoto - TeknoKona Teknolojia Tanzania
Matumizi ya simu mashuleni ni jambo ambalo wabunge wameliona na kuamua kupitisha mswada ambao unakataza watoto kutumia simu wakati wa masomo/maeneo ya shule