teknokona.com
Mapya kutoka Apple: MacBook Air 2018 na Mac Mini mpya - TeknoKona Teknolojia Tanzania
SambazaTweetApple watambulisha MacBook Air 2018 na Mac Mini mpya. Mwezi wa tisa mwaka huu Apple walifanya utambulisho wa simu zao mpya za iPhone ila kwa tukio hili la Oktoba wamejikita zaidi katika laptop mpya, iPad na vitu vingine vidogo vidogo (gadgets). Kwa ambao walishindwa kufuatilia tukio hilo moja kwa moja, Teknokona tunakuletea mambo makuu yaliyojiriRead More