teknokona.com
Magari yanayojiendesha yenyewe bila dereva ndani kupata ruhusa California
Baada ya muda mrefu kuzuiwa kutokana na sheria, sasa mabadiliko yametokea. Magari yanayojiendesha yenyewe bila dereva ndani kupata ruhusa California.