teknokona.com
Kigogo wa Samsung aliyehukumuiwa jela miaka 5 aachiwa huru
Kigogo wa Samsung aliyehukumuiwa jela miaka 5 aachiwa huru. Mrithi na tajiri wa Kampuni ya Simu za Samsung, Lee Jae-yong ameachiwa huru na mahakama ya Korea kusini baada ya mahakama hiyo kumuondolea adhabu ya miaka mitano jela