teknokona.com
Kenya nayo yafikiria kudhibiti WhatsApp na Skype - TeknoKona Teknolojia Tanzania
Mamlaka husika nchini Kenya inafikiria kudhibiti WhatsApp kutokana na sababu mbalimbali ambazo zimeonekana kuwa ni muhimu kwa kitu hicho kufanyika.