teknokona.com
Kati ya majina haya, ni lipi kubeba Android P? - Toleo jipya la Android
Mfumo endeshi wa Android Oreo bado ungali haujaenea katika simu nyingi sana lakini tayari katikati ya mwezi huu kunakaribia kutolewa kwa toleo jipya la majaribio la Android P.