teknokona.com
Je simu za mkononi zinasababisha kansa ya ubongo? #UtafitiMpya
Je simu za mkononi zinasababisha kansa ya ubongo? Hili ni jambo ambalo mara nyingi mtu unaweza ukawa umekwishalisikia, je lina ukweli kiasi gani? Fahamu utafiti mpya uliofanyika