teknokona.com
Google wakamilisha kuwanunua wahandisi 2,000 wa HTC kwa matrilioni
Google wakamilisha kuwanunua wahandisi 2,000 wa HTC ili kuzidi kujikita katika utengenezaji wa simu zake za familia ya Pixel.