teknokona.com
Facebook inapoteza vijana Marekani, Snapchat inazidi kuwapata
Kwa mwaka 2017 Facebook ilipoteza watumiaji milioni 2.8 kwa kundi la chini ya miaka 25 nchini Marekani, shirika la eMarketer limesema kwa mwaka huu watapoteza tena watumiaji milioni 2.1 katika kundi hilo. Facebook inapoteza vijana Marekani, Snapchat inazidi kuwapata