teknokona.com
Alcatel 1X: Simu janja ya kwanza kutumia Android Go! #Uchambuzi
Mwishoni mwa mwezi uliopita Google katika mkutano mkubwa MWC 2018 ilipozindua rasmi mfumo wa Android Go, simu janja ya kwanza kutumia mfumo huo imekuwa Alcatel 1X.