cheusidawa.tv
Fidstyle Friday Week 9 with Lord Eyez
Lord Eyez, kutoka Nako 2 Nako, kutoka Arachuga, kama kawaida yake anakuja na mtindo wake wa kipekee wa kughani... Nyimbo zaidi za Lord Eyez na kikosi kizima cha Nako 2 Nako zinapatikana hapa.