littlegreynotepad.com
HAKUNA SHEREHE KWA WENYE TAMAA
Sijui playlist yako iko na ngoma ngapi. Yangu iko na kaa 80 ivi, ngoma nimedownload, na ‘Championship’ album ya Meek Mill. Nafaa niongeze mareggae juu sai ningekua juu ya Gregory Isaacs…