miezie

APARTMENT FOR RENT

Date Listed: 19th MAY 2015

DIRECTIONS: SALASALA, MWISHO WA RAMI

FIXED PRICE: LAKI 3.5

TERMS OF PAYMENT: MIEZI 6 ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃
#3BedROOM #1Bedroom is self contained #SittingRoom #MAJI YAPO ya KISIMA #Cars parking space #Fenced #KITCHEN #Alluminium windows #paving Blocks #Dinning
#FORrentSALALAmkombozi

CONTACT
#0712582222 whats app by dalalimkombozi https://instagram.com/p/22-i_zppdL/

Upendo wa MAMA haufananishwi na kitu!!!!

Siku moja jioni mtoto alimfuata mama yake jikoni akiwa ana andaa chakula cha jioni na kumpa mama yake kajikaratasi kadogo ambako alimwandikia
Mama alifuta mikono yake na kukichukua kile kikaratasi ambacho kilisomeka hivi:

Kwa ajili ya kukata nyasi nakudai : TZS 5000
Kwa kusafisha chumba changu wiki hii nakudai : TZS 4000
Unavyonituma dukani nakudai : TZS 1000
Kukaa na mototo ukiondoka : TZS 2000
Kutupa takataka nakudai : TZS 3000
Kusoma kwa bidii nakudai : TZS 5000
Kusafisha sehemu ya baba kupaki gari nakudai: TZS 1500
Jumla alidai: TZS 21,500
Mama akasimama pale baada ya kulisoma lile karatasi na baadae akatabasamu na kumpokonya peni na kuandika kitu kisha akampa asome.

Mama aliandika hivi:
Kwa miezi tisa niliyo kubeba tumboni mwangu huku ukiendelea kukua:
Sitakudai
Kwa siku zote usiku ambazo sikulala kukubembeleza na kukupambia kitanda:
Sitakudai
Kwa miaka yote niliyokulea na ukanipa wakati mgumu na machozi juu yako:
Sitakudai
kwa nyakati zote za usiku ambazo sikulala nikikuuguza ili upone:
Sitakudai
kwa kila mdoli, chakula, nguo na hata kelele zako:
Sitakudai
Mwanangu , Hata ukiongeza upendo wangu kwako:
Sitakudai
Mtoto baada ya kumaliza kusoma huku macho yakijawa na machozi alisimama na kumwambia mama “Mama, Kutoka moyoni nakupenda.” Na kisha akachukua lile karatasi na kuandika kwa kimombo “PAID IN FULL”.

Funzo:
· Hutajua umuhimu wa wazazi wako mpaka utakapo kuwa mzazi.
· Uwe mtu wa kutoa kuliko kupokea kama wafanyavyo wazazi wetu
· Kuna mengi wazazi wametupa zaidi ya fedha.
·
BECAUSE MONEY IS THE WORST WAY OF MEASURING HAPPINESS…

HAPPY MOTHER’S DAY……