"Behavioral change is difficult, but possible and necessary when it comes to living positively with HIV/AIDS. Our behavior should always be to use condoms. I know an elderly married couple that still uses protection! If a married couple chooses to do this, then why not all young people"

"Mabadiliko ya tabia si jambo rahisi, lakini inawezekana na inabidi pale inapotakiwa kuishi na VVU kwa mtazamo chanya. Tunaweza kutumia kinga. Nafahamu wanandoa wa muda mrefu ambao bado wanatumia kinga, kama wao wamechagua kutumia kinga, vijana wanangoja nini?" Constantine Manda #DARSHAPERS #IAMPOSITIVE

Watch on larrybwaybankroller.tumblr.com

KICHUPA KIPYA : PROFESSOR JAY – TATU CHAFU [Official Video]

Kwa mtazamo wa haraka haraka unaweza ukasema ni video iliyotengenezwa nje ya nchi hasa kutokana na maeneo yaliyotumika kama vile Casino sambamba na magari ya kifahari  katika utengenezaji wa Video mpya ya Professor Jay ”Tatu Chafu” iliyofanywa na kampuni ya Hefemi Studio.

Text
Photo
Quote
Link
Chat
Audio
Video