majina

MAJINA YA WANAOWANIA TUZO ZA OSCAR 2015 YATANGAZWA

MAJINA YA WANAOWANIA TUZO ZA OSCAR 2015 YATANGAZWA

Majina ya washiriki waliochaguliwa kuwania Tuzo za  Oscar mwaka 2015 yametangazwa  jana  katika ukumbi wa Goldwyn Theatre uliopo Beverly Hills, California ambapo vipengele 24 vitashindaniwa ukiwa ni msimu wake wa 87 tangu kuanzishwa kwake.

Sherehe za utoaji wa tuzo hizo zinatarajia kufanyika February 22 mwaka huu katika ukumbi wa Dolby Theatre jijini Hollywood nchini Marekani.  Utazame mkeka…

View On WordPress

Ajuza miaka 90: Anasoma Darasa la 5

Akiwa na umri wa miaka 90 mwanamke wa Kenya ambaye anahudhuria masomo akiwa na wajukuu zake wapatao sita inaaminika ndiye mwanafunzi mzee zaidi anayesoma shule ya msingi duniani.

Akiwa ameketi dawati la mbele kabisa darasani ,yuko darasa la tano na amevalia nguo za shule , Priscilla Gogo Sitienei anamsikiliza mwalimu anayefundisha kwa makini hukua akiandika majina ya wanyama kwa kiingereza…

View On WordPress

JACKLINE WOLPER : WOLPER NI JINA LA BABA YANGU SIO LA SANAA

JACKLINE WOLPER : WOLPER NI JINA LA BABA YANGU SIO LA SANAA

Msanii nyota wa kiwanda cha filamu Bongo, Jackline Wolper Massawe amewataka mashabiki wake wafahamu jina la Wolper sio la sanaa bali ni la baba yake mzazi na ambalo lipo hata kwenye cheti chake cha kuzaliwa.

Aidha msanii huyo Amesema kwamba wapo mastaa wenzake ambao wamekuza majina yao ya sanaa lakini sio ya kwao wala ya wazazi wao.

Wolper ni jina la baba yangu mzazi siyo jina la sanaa,…

View On WordPress