jaymillion

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAIPELEKA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS MTAANI

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAIPELEKA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS MTAANI

Meneja Masoko wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ilala George Venanty (wa pili toka kulia) akifafanua jambo kwa wafanyakazi wenzake wakati wa kutoa elimu ya promosheni ya Jaymillions kwa wateja wa kampuni hiyo na wananchi kwa ujumla. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.

Muuza magazeti wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, Ally Hamis (kulia) akifafanuliwa jambo na Meneja…

View On WordPress

MJASIRIAMALI AJISHINDIA MILION 10 ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM

MJASIRIAMALI AJISHINDIA MILION 10 ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM

Mkazi wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza James Mangu, leo ameibuka mshindi wa  shilingi milioni 10  katika droo ya kumi tatu ya promosheni ya Jaymilioni inayoendeshwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania.

Mangu  ambaye ni baba mwenye watoto 4 ambaye pia ni mjasirimali amesema kuwa amepokea taarifa hizi kwa furaha akiwa  katika kazi zake za biashara na amefurahia ushindi huu ambao anaamini…

View On WordPress

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU SAUT CHA JIJINI MWANZA AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA TSH 1/-ALICHOJISHINDIA KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM TANZANIA

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU SAUT CHA JIJINI MWANZA AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA TSH 1/-ALICHOJISHINDIA KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM TANZANIA

Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha SAUT cha jijini Mwanza Evarista Minja(kulia)akitoa fedha zake kwa njia ya M-PESA kiasi cha shilingi Milioni 1/-alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania na kukabidhiwa fedha hizo na Mkuu wa kampuni hiyo kanda ya ziwa Dominician Mkama(kushoto.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.

Mkuu wa kanda…

View On WordPress

MAMA MKULIMA ASHINDA MIL. 10/- ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM

MAMA MKULIMA ASHINDA MIL. 10/- ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM

Mkazi wa kijiji cha Inyonga Mkoani Rukwa Hyness Petro Kanumba (20) leo ameibuka mshindi wa kwanza wa Milioni 10 katika droo ya nane ya promosheni ya Jaymilions inayoendeshwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania.

Hyness ambaye ni mama mwenye mtoto mmoja pia mkulima amesema kuwa amepokea taarifa hizo kwa furaha akiwa shambani katika kazi zake za kilimo, kwa kuwa anaamini Mungu amemuona na…

View On WordPress

SHILINGI BILIONI 29,995,000,000 ZINAWASUBIRI WATEJA WA VODACOM KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS

SHILINGI BILIONI 29,995,000,000 ZINAWASUBIRI WATEJA WA VODACOM KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS

Wateja wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania wametakiwa kuchangamkia promosheni ya Jaymillions kwa kutuma ujumbe wenye neno JAYkwenye namba 15544 ili kujua kama iwapo namba zao zimeibuka na ushindi katika droo inayofanyika kila siku.

Akiongea baada ya kumalizika kwa droo ya sita ya promosheni hiyo ambayo ilifanyikiwa kupata washindi wa muda wa maongezi kufikia idadi ya 947 na…

View On WordPress